PICHA 5: Anna Mghwira alivyoapishwa na JPM kuwa RC Kilimanjaro
MuroTV
Siasa
PICHA 5: Anna Mghwira alivyoapishwa na JPM kuwa RC Kilimanjaro
Leo
June 6, 2017 Ikulu Dar es salaam, Rais Magufuli amemuapisha Anna Mghwira
kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mama Mghwira ni mwanachama wa ACT
Wazalendo na alikuwa mgombea Urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu
wa mwaka 2015.
Mghwira ameapishwa leo na tayari amekabidhiwa ilani ya CCM. Nimekuwekea hapa chini picha za kuapishwa kwake.


MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment