Header Ads

50 wauwawa kwenye Shambulio Tamasha la muziki Marekani (+Picha)

Image result for las vegas shooting




Watu zaidi ya 50 wameuawa na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa katika shambulio la risasi lililotokea katika Tamasha la Muziki, Las Vegas, Marekani.
Maofisa wa Polisi wamedai kumuua mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Stephen Paddock mwenye umri wa miaka 64 ambaye anadaiwa kufanya shambulizi hilo akiwa ghorofa ya 32 kwenye Hotel ya Mandalay Bay ambako alianza risasi ghafla kwa watu waliokuwa wamesimama nje ya jengo hilo.

Image result for las vegas shooting
Image result for las vegas shooting
Image result for las vegas shooting
Image result for las vegas shooting
Image result for las vegas shooting

No comments:

Powered by Blogger.