Baada ya uteuzi wa Anna Mghwira, ACT Wazalendo wametoa hii taarifa
MuroTV
Mix
Baada ya uteuzi wa Anna Mghwira, ACT Wazalendo wametoa hii taarifa
June 6, 2017 Katibu wa Itifaki na Uenezi na Mawasiliano ya Ummma wa ACT Wazaledo Ado Shaibu ametoa taarifa iliyosema kuwa Kamati ya uongozi ya chama hicho itakutana June 7, 2016 kutafakari namna ambavyo Anna Mghwira atatekeleza wajibu wake wa Uenyekiti wa chama na majukumu mapya.

MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;

No comments:
Post a Comment