MAN U NDIO MABINGWA WAPYA EUROPE LEAGUE MSIMU HUU
MAN U NDIO WASHINDI WAPYA EUROPE LEAGUE MSIMU HUU
Mwandishi: Prosper Muro
Imeandikwa 25 Mai, 2017
Man U wakishangilia ushindi
MANCHESTER UNITED wamechukua ubingwa huo baada ya kuichapa AJAX kwa goli 2-0Goli la mapema kabisa lilifungwa na mshambuliaji wa Man U Pogba mnamo dakika ya 18 na ilipofika dakika ya 48 MIKHITARYAN aliiongezea Man U goli la pili lililowapa uhakika wa kuwa washindi kwa msimu huu.
Timu za uingereza zenye makombe mengi
45- Man U
44- Liverpool
29-Arsenal
23- Chelsea
21- Aston Villa
17- Tottenham
15- Everton
No comments:
Post a Comment