Header Ads

HEKAHEKA: Mama adaiwa kumchapa mwanae hadi kufa…kisa?

MuroTV

HekaHeka

HEKAHEKA: Mama adaiwa kumchapa mwanae hadi kufa…kisa?

June 5, 2017 kwenye Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habib ametusogezea Hekaheka ambayo inamuhusu mwanamke mmoja ambaye anashikiliwa na Polisi akidaiwa kumpiga mtoto wake wa kumzaa hadi kufa baada ya kumshutumu kuiba hela ya ndani.
Hekaheka hiyo imetokea Tabata Kinyerezi DSM ambako inasemekana mama huyo alishirikiana na shemeji yake kumpiga mtoto kisha kumfunga kamba ambapo alisaidiwa na mpita njia na aliporudi ndani kwa mara ya pili aliendelea kupigwa hadi kufariki.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA; 
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
          : prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv

No comments:

Powered by Blogger.