Dada wa Diamond, Esma Platnumz Atoa Tamko Kuhusu Mimba ya Hamisa Mobeto Kuhusishwa na Kaka yake
By @_esmaplatnumz – Hamisa Nirafiki yangu mzuri tu tunatembeleana na pia tunaalikana hata kwenye mashughuli masikini mwenyewe kajiamulia kujiongezea mtoto wake wa pili japo na misukosuko yote akanambia esma watoto ndio maisha yangu na familia yangu… lakini team wakayazua na yakuzua na kumpatia mababa kibao tumbo lake.. je hamfikirii hata hali yake jamani km sio mwanamke mwenzenu. Mi nachojua mwenyewe ndo anajua baba wa mtoto ni nani sisi hayo hayatuhusu. Tunachojua tunampenda basi alivyo ukimpenda mtu mpende km yeye tabia yake iache usiweke chuki au ukasababisha wengi wamchukie. Ifike mahali tuishi maisha yetu tuachane na uteam mi nampenda km yeye
No comments:
Post a Comment