Header Ads

Video mpya ya Alikiba imefikisha views zaidi ya 500,000 ndani ya saa 24

Ni saa 24 tu zimepita tangu mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ lakini tayari imeonekana mashabiki wake wameipokea vizuri baada ya kufikisha viewers zaidi ya 500,000.

VIEW VIDEO

No comments:

Powered by Blogger.