UMRI WA EMMANUEL OKWI
Kumekuwa na Utani wa Hapa na Pale Wa Washabiki wa Yanga na Simba kuhusu Umri wa Mchezaji Emmanuel Arnold Okwi kuhusu Umri wake, Muro TV Blog Tukaingia Chimbo kufatilia Ukweli.
Kupitia Mtandao maarufu wa Wikipedia ambao huandika Details za watu maarufu Duniani ni kwamba OKWI amezaliwa 25 December 1992 kwahiyo Umri wake wasasa ni miaka 24 na Tarehe 25 December mwaka Huu atafikisha miaka 25.
Bado Mdogo eeeh? Kulingana na Details za Wikipedia kisoka bado ni Umri safi kabisa wa Kucheza ila kisoka la Afrika inawezekana OKWI alitoa Details za Uongo ili kuonekana bado Kinda, Siunajua yale mambo ya Kina Langa wa Under 17 Congo , Nurdin Bakari n.k Ila kwasasa acha Tuamini Hivyo.Kwa habari za Michezo Like Ukurasa wetu wa Facebook>>> Bonyeza Hapa <<
No comments:
Post a Comment