Header Ads

Tundu Lissu, LHRC waungana kupinga kulipuliwa Ofisi ya Mawakili


Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS, Tundu Lissu na Kituo cha Haki za Binadamu wameungana kwa pamoja katika kupinga kitendo cha kuvamiwa na kulipuliwa Ofisi za IMMMA Advocates.
Katika mkutano wa pamoja wamesema lengo ni kuonesha namna gani Sheria inatakiwa kuthaminiwa na kitendo kilichofanywa kinatakiwa kukemewa kwa nguvu zote.

No comments:

Powered by Blogger.