Msaanii wa Bongo Fleva
Alikiba ambaye anafanya vizuri kwa sasa na video ya wimbo wake mpya
‘Seduce Me’ ulioangalia na zaidi ya watu milioni mbili katika mtandao wa
YouTube ndani ya siku tatu, bado anazidi kuchukua headlines kwa kupokea comment chanya kutoka kwa watu mbalimbali.

Mbunge wa Nzega Hussein Bashe
Mbunge wa
Nzega kupitia chama cha Mapinduzi
Hussein Bashe ni mmoja kati ya wanasiasa na viongozi waliyojitokeza na kuandika hadharani mtazamo wake kuhusu uwezo wa
Alikiba aliyouonesha katika wimbo wa
‘Seduce Me’ na kufikia kuandika mawazo yake kupitia ukurasa wake wa instagram.
“He is one of my favorite ni msanii
Simple,down to earth , humble ,Creative I wish him All the best
. Though mm ni Mgonjwa wa Hip Hop that’s why in my list yupo Roma,Chid
benz,Jay,Ney,Sugu But Kiba ni true sign ya msanii anaejua wat it takes
to b artist how to behave”-Bashe
“how to act how to conduct him self anaweza kuwa hana
mafanikio kama wengine but huyu jamaa Akiendelea hivi Ana Bright future
soko halitamchoka haongeza mashabiki kwa skendo he is growing his fan
base kwa mziki na how he conduct him self”-Bashe
” It’s like Roma Content ya nyimbo
zake zinataswira ya aina ya mtu na Ubongo wake listen to Mathematics,
2030 these are people to protect and cherished”-Bashe
No comments:
Post a Comment