SIMBA WAMTANGAZA MCHEZAJI BORA MSIMU HUU
Mix
Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ Mchezaji Bora wa msimu Simba SC
Simba SC imetoa taarifa hiyo kupitia account ya Facebook ikiandika: “Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu 2016/17 kwenye kikosi cha Simba.”

SportPesa wametenga Bilioni 4.9 kwa ajili ya Simba SC pekee…

No comments:
Post a Comment