....’Ka Diamond kenyewe basi’ Dongo lingine kwa Alikiba
Usiku wa Augst 28, 2017 staa wa Bongofleva na Boss wa WCB kutokea Tandale Diamond Platnumz ambaye anafanya vizuri kwenye Bongofleva ameamua kutupa jiwe gizani baada ya kuweka post kwenye Instagram yake.
Katika post hiyo ambayo ina maneno yasiyopungua 16 Diamond amewalenga watu wanaoonesha chuki dhidi yake na wanaomsema vibaya vibaya kuhusu ingawa anachukulia kama changamoto.
Diamond ameandika>>>”Ka diamondi kenyewe basi, kadogodogooo tokea Tandale… sema kanavyo washuhurisha watu na Midevu yao… Hadi raha….. #ZILIPENDWA” – Diamond.
No comments:
Post a Comment