Header Ads

PICHA 8:Ulinzi ulivyoimarishwa Mahakama Kuu leo kwenye kesi ya Wabunge wa CUF

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo August 4, 2017 imetupilia mbali pingamizi la Wabunge 8 wa  Viti Maalumu waliofutwa uanachama na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba ya kutaka wabunge wateule 8 wasiapishwe na Bunge.
Hizi hapa picha 8 kutoka Mahakamani hapo zikionesha hali ya ulinzi wakati wa kesi hiyo.





No comments:

Powered by Blogger.