Header Ads

MPYA: Wema Sepetu amefika mahakamani tena leo....Vipi kuhusu kesi yake?


Wema Sepetu
Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu amekuwa na kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambayo imekuwa ikiendelea siku hadi siku ambapo leo August 4, 2017 alirudi tena Mahakamani leo
Kinachoendelea ni kwamba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 4, 2017 imeahirisha kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na wenzake hadi August 15 na 16, 2017 itakaposikilizwa tena.

No comments:

Powered by Blogger.