bomoabomoa ya ghafla Dar Haijamuacha Jux Salama
Habari za bomoabomoa Dar zimeendelea
kutanda kwenye anga la habari ambapo leo August 29, 2017 bomoabomoa
imepita kwenye duka la mwimbaji wa Bongofleva Juma Jux ambalo lilikuwa linauza bidhaa zake za mavazi ya African Boy.
Fatma ambae ni dada wa Jux alichukua video na kusema “Hii ndio hali niliyoikuta baada ya kufika dukani kwangu leo asubuhi, tumebomolewa bila kupewa taarifa yoyote…. vitu nilivyoweza kuvitoa ni hivi, kila kitu changu kimebomoka”
“Ni mgogoro uliokua kwa wenye nyumba wenyewe, nachukua hii video si kama nina nguvu ila najikaza… Wateja wangu mniwie radhi tutaendelea kuwasiliana kwa simu” – Fatma

No comments:
Post a Comment