SHAVU KWA FANS BAZUKA SHOW YA ANYOULA FM-KENYA
Shavu lingine kwa Mashabiki wa King Davy, Xhumah the Don Pamoja na DJMbu wa Kipindi cha Bazuka Show ya Radio maarufu nchini Kenya 107.3 Anyoula FM ni kwamba kuanzia kesho 23 July 2017 kipindi kimeongezwa muda wa kuwa hewani kutoka masaa mawili hadi masaa matatu sasa.
Ambapo mwanzo kilikuwa kinaanza saa nane kamili mchana na kumalizika saa kumi jioni sasa kitakuwa kinaanza saa saba mchana hadi saa kumi jion.
"Bazuka Show ni kipindi kizuri kwaajili ya kusapoti mziki mzuri Afrika Mashariki"
No comments:
Post a Comment