MSAMI KAFUNGUKA “Sikuwa na mpango na Wanawake niliokua nao”
>>>”Kwanza labda tuifanye hii iwe mara ya mwisho na leo naweza kuzungumza labda watu hawakuwahi kufahamu na mimi sijawahi kuzungumzia mambo ya mahusiano yangu. Sio mbaya watu wakizungumza kuhusu mimi juu ya uhusiano wangu.
“Wasanii wengi ambao wapo kwenye mahusiano wanakuwa kama wanaigiza mahusiano. Mimi nikiwa kwenye mahusiano na staa wa Bongo Movie basi natofautisha kati ya maisha yangu niliyokuwa nikiishi na uhusiano wangu.
No comments:
Post a Comment