Header Ads

RAIS DKT. MAGUFULI AENDESHA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA CHATO


Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika
kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa waumini mbalimbali waliohudhuria ibada kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoa wa Geita leo Jully 16, 2017

 Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika
kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa Mke wake Mama Janeth Magufuli wakati
wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la Katoliki la
  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita leo Julai16, 2017

 Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Joseph Magufuli akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Mwita
Chacha kwa  kuchangia mifuko mitano ya saruji kwaaajili ya ujenzi na
upanuzi wa kanisa  Katoliki la  Bikira MariaParokia ya  Chato Mkoani Geita 

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwashukuru
waumini walioshiki kuchangia ya ujenzi na upanuzi wa kanisa  Katoliki la 
Bikira MariaParokia ya  Chato
Mkoani Geita,ambapo zilikusanywa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni kumi na
tatu pamoja na ahadi mbalimbali  vikiwemo vifaa vya ujenzi.

ANGALIA VIDEO

No comments:

Powered by Blogger.