Header Ads

PICHA: Baada ya Beckham staa mwingine wa soka kaonekana Arusha

MuroTv

Michezo

PICHA: Baada ya Beckham staa mwingine wa soka kaonekana Arusha

Ni wiki moja imepita tangu taarifa za staa wa zamani wa soka wa timu ya Taifa la England, David Beckham aingie Tanzania na familia yake kwa ajili ya mapumziko mafupi ambapo walikwenda katika hifadhi ya Serengeti.
Kama ilivyokuwa kwa David Beckham kuingia kimya kimya, staa mwingine wa soka ameingia Tanzania kimya kimya…ni beki wa kati wa Liverpool na timu ya Taifa la Ufaransa, Mamadou Sakho.

Sakho anayecheza kwa mkopo katika klabu ya Crystal Palace akitokea Liverpool inaonekana amekuja katika mapumziko ya mwisho wa msimu baada ya Ligi Kuu England kumalizika ameonekana katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Airport Arusha wakiwa maeneo ya Airport.
 KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA; 
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
          : prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv

No comments:

Powered by Blogger.