MAJALIWA AHUDHURIA KATIKA MSIBA WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri Julai 16, 2017.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alip hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri Julai 16, 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,akizungumza na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan leo alfajiri Julai 16, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
---Endelea kukaa karibu na Mr Muro kwa mengi zaidi---
No comments:
Post a Comment