Header Ads

MANISPAA YA KINONDONI YAKABIDHIWA SHULE YA SEKONDARI MAENDELEO



Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Benjamin Sitta akizungumza na watumishi
wa serikali na wanafunzi mapema jana katika hafla ya kupokea msaada wa shule ya
sekondari ya Maendeleo yenye thamani ya sh milioni 800 iliyojengwa na
kampuni ya magari ya (KIA) ya Korea Kusini na Good Neighbors jijini
Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Good Neighbour ambao ndio wadhamini wa
shule hiyo,Namun Heo akizungunza na watumishi wa serikali katika hafla
ya kukabidhi majengo ya shule ya sekondari ya Maendeleo yenye thamani
ya sh milioni 800 iliyojengwa na kampuni ya magari ya (KIA) ya Korea
Kusini na Good Neighbors,jijini Dar es Salaam.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Benjamin Sitta (kushoto) na Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Good Neighbour,Namun Heo (kulia) wakisani hati ya
makabidhiano ya shule ya sekondari ya Maendeleo iliyojengwa na kampuni
ya magari ya (KIA) ya Korea Kusini na Good Neighbors,mapema jana jijini Dar es
Salaam.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Benjamin Sitta (wa kwanza kushoto) akiwa
ameambata na watumishi wa serikali wakikagua moja ya majengo ya shule
hiyo.

Muonekano
wa shule ya sekondari ya Maendeleo yenye thamani ya sh milioni 800
iliyojengwa na kampuni ya magari ya (KIA) ya Korea Kusini na Good
Neighbors jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Powered by Blogger.