Header Ads

Memphis Depay kaachia video ya wimbo wake…itazame ‘LA Vibes Freestyle 1.0.’



Story kwamba nyota wa timu ya Taifa la Uholanzi ambaye zamani alikuwa anaichezea Manchester United Memphis Depay ni mmoja kati ya wachezaji wa soka ambapo pia wana uwezo mkubwa wa kuimba hazikuanza leo.
Ili kuthibitisha hilo mchezaji huyo wa Lyon ya Ufaransa ameachia video ya wimbo LA Vibes Freestyle 1.0. alioimba akiwa na mchezaji mwenzie wa Uholanzi Quincy Promes.
Depay ambaye kwa sasa yupo California kwa ajili ya mapumziko ameachia wimbo huo na saa moja tu tangu kuwekwa YouTube ulitazamwa zaidi ya mara 30,000.
VIDEO HII HAPA CHINI

Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851
 Download Hpa

No comments:

Powered by Blogger.