Header Ads

KAMATI MAALUM YA SERIKALI YA TANZANIA YAANZA MAZUNGUMZO NA BARRICK GOLD CORPORATION JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri
wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi ambaye pia ni mwenyekiti
wa Kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kufanya mazungumzo na uongozi wa Barrick
Gold Corporation juu ya biashara ya madini yanayochimbwa na migodi ya
kampuni hiyo hapa nchini akiulaki ujumbe wa kampuni hiyo kabla ya kuanza
kwa mazungumzo hayo jana tarehe 31 Julai, 2017 Jijini Dar es Salaam. 
  
Waziri
wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi ambaye pia ni mwenyekiti
wa Kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kufanya mazungumzo na uongozi wa Barrick
Gold Corporation juu ya biashara ya madini yanayochimbwa na migodi ya
kampuni hiyo hapa nchini akipata picha ya pamoja na ujumbe wa kampuni
hiyo kabla ya kuanza kwa mazungumzo hayo jana tarehe 31 Julai, 2017
Jijini Dar es Salaam 
Waziri
wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi ambaye pia ni mwenyekiti
wa Kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kufanya mazungumzo na uongozi wa Barrick
Gold Corporation juu ya biashara ya madini yanayochimbwa na migodi ya
kampuni hiyo hapa nchini akizungumza akiwa na Afisa Mwendeshaji Mkuu wa
kampuni hiyo Bw. Richard Williams kabla ya kuanza kwa mazungumzo hayo
jana tarehe 31 Julai, 2017 Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Powered by Blogger.