Header Ads

JPM Amuapisha Balozi wa Tanzania Nchini Malawi, Apokea Hati za Mabalozi 5 Jijini Dar

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Benedict Mashiba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi,
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vietnam hapa nchini
Nguyeni Kim Doahn, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Indonesia hapa nchini
Prof. Ratlan Pardede, Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vatican hapa nchini
Mhashamu Askofu Mkuu Marek Solcynski, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Wachter akijitambulisha kabla ya
kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Uganda hapa nchini
Richard Tumisiime Kabonero Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Powered by Blogger.