U HEARD: Faiza Ally kafafanua kuhusu picha za utata alizoweka Instagram
Mtangazaji Soudy amemtafuta Faiza Ally ili kupata ukweli ambaye amesema:>>>”Kwani kuna tatizo gani? Kuvunja utu gani! Kuvunja utu kwa raha zako kama unasikia raha? Kama wewe unavyofanya umbea unasikia raha huku unapata hela na mimi ndio hivyo nafanya hivi nasikia raha na napata hela. Hivi Watanzania wanajua maana ya Freemason kweli? Hiyo ni moja ya sign ya Egypt.” – Faiza Ally
No comments:
Post a Comment