HATIMAE MSHINDI WA TIGO FIESTA SUPA NYOTA 2017 APATIKANA JIJINI MWANZA
Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza, Fatuma Msafiri
akiimba wakati wa kumtafuta mkali wa kipaji cha kuimba jijini Mwanza
Msanii Chipukizi Lusinde Michael a.k.a Real Da Best akionesha umahiri
wake wa kufoka foka kwenye mchuano wa kusaka kipaji cha Tigo Fiesta Supa
Nyota 2017 jijini Mwanza
Top 2 wakisubiri kutajwa kwa mshindi kati yao.
Majaji wakijadiliana jambo.
Wasanii walioingia Top 4 wakisubiri mchujo wa kuingia top 2.
Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 kutoka Mwanza akibubujikwa na
machozi ya furaha mara baada ya kutangazwa kushinda shindano la kusaka
vipaji vya kuimba Supa Nyota msimu huu wa Tigo Fiesta 2017, Pembeni
mshindi wa pili Lusinde Michael a.k.a Real Da Best.
Sehemu ya umati uliojitokeza kushiriki Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 jijini Mwanza.
Majaji wakiongozwa na Nickson wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi
wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza Fatuma Msafiri.
No comments:
Post a Comment