Header Ads

Askofu Gwajima kuileta ‘Private Jet’ yake Tanzania


Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu kuileta PRIVATE JET yake Tanzania ambayo ameinunua Marekani.
Kwenye hii video fupi hapa chini Gwajima amesema Mimi nasema kwenye maisha yangu sishindwi hata sasa hivi nimekuja hapa Marekani narudi na Private Jet, nanunua…. why not? wale mlio Tanzania mnisikie  anaeleta ngebe namkata ngebe kwa jina la Yesu

No comments:

Powered by Blogger.