Mwimbaji wa Bongofleva Dayna Nyange amepita kwenye headlines za kutosha baada ya kusema yule jamaa anaeonekana kwenye video yake mpya ya ‘chovya’ ni mdogo wa Msanii staa wa dunia aitwae Drake. “Video king ni kweli ni mdogo wake Drake, Mungu akiamua kukutanisha na watu inatokea tu… ni rafiki yangu ndio anajuana na huyo mdogo wake Drake, tukaongea nae lakini hakuwa anataka na hakuwahi kufanya video“
Dayna ‘chovya’ ni mdogo wake Drake
Reviewed by Unknown
on
August 31, 2017
Rating: 5
No comments:
Post a Comment