TOP 10: Mastaa wanaolipwa pesa nyingi kwa post moja instagram
Inawezekana ukawa ni moja kati ya mashabiki au wafuasi wazuri wa mastaa
mbalimbali katika mitandao ya kijamii lakini inawezekana hujui kuwa
mastaa hao huwa wanalipwa wanapopost vitu vya matangazo ya biashara
kutumia instagram account zao.
Staa wa soka Cristiano Ronaldo,muimbaji Selena Gomez na Kim Kardashian
ndio mastaa pekee wanaolipwa pesa nyingi kwa post moja ya Tangazo
instagram, Selena ambaye ni namba moja analipwa pound 425400 ambazo ni
zaidi ya Tsh Bilioni 1.2, kwa upande wa Ronaldo ambaye ni namba tatu
analipwa pound 309382 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 800.
No comments:
Post a Comment