Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Maonesho ya Sabasaba yamefunguliwa rasmi July 1, 2017 na Rais Magufuli ambapo
hufanyika kila mwaka katika Viwanja vya Sabasaba vilivyopo Kilwa Road
DSM yakiambatana na utoaji tuzo mbalimbali kwa makapuni washiriki.
Aidha, wakati wa ufunguzi huo Rais Magufuli alitembelea Banda la Global Education link Ltd na kuwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kudahili Wanafunzi.
Mkurugenzi
wa Udahili wa Global Education Link Ltd Bi. Zakia Nassor (kushoto)
akipokea Ngao ya Ushindi kutoka kwa Rais Magufuli. Anayeshuhudia ni
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage
Mkurugenzi
wa Udahili wa Global Education Link Ltd Bi. Zakia Nassor (kushoto)
akipewa pongezi na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles
Mwijage
Mkurugenzi
wa Udahili wa Global Education Link Ltd Bi. Zakia Nassor (kushoto)
akipewa pongezi na Rais Magufuli huku Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji Charles Mwijage na Mwenyekiti wa Bodi ya TanTrade Eng.
Christopher Chiza wakishuhudia
No comments:
Post a Comment