Clouds FM Top 20: List ya midundo 20 ya wiki, leo July 2, 2017 (+Videos)
Top 20 ya Clouds FM le July 2, 2017 ikisimamiwa na Mtangazaji Mami Baby ilikamilisha hesabu ya nyimbo 20 zilizofanya vizuri wiki hii…kama hukupata time ya kusikiliza kupitia Radio hii ni time yako ya kujua chart imesimama vipi kupitia murotv.blogspot.com.
Ingizo jipya wiki hii ni wimbo wa Saida Kalori – Uligambo ambao umekamata nafasi ya 10 kwenye chart.
20: Maua Sama – Main Chick
19: Major Lazer feat PARTYNEXTDOOR & Nicki Minaj – Run Up
18: Weusi – Ya kulevya
17: Kendrick Lamar – HUMBLE
16: Nedy Music – Dozee
15: Beka Flavour – Libebe
14: Asley – Angekuona
13: Timbulo – Mfuasi
12: Jux – Umenikamata
11: DJ Khaled feat. Rihanna, Bryson Tiller – Wild Thoughts
10: Saida Karoli – Orugambo
9: Davido – If
8: Chege & Temba feat Emmy Wimbo – Go Down
7: Nyashinski – Malaika
6: Coyo – Ziwafikie
5: DJ Khaled feat Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne – I’m the One
4: Harmonize X Rich Mavoko – Show Me
3: Young Dee – Bongo Bahati Mbaya
2: Ray C – Unanimaliza
1: Darassa – Hasara Roho
Muro Tv Ipo Play Store…Download HAPA ,Tuwe tunakutumia habari kwa haraka zaidi,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:0768786851, whatsapp:0768786851
No comments:
Post a Comment