PICHA 12: Jezi mpya za Chelsea na Tottenham watakazotumia 2017/18
Siku chache zilizopita Ligi Kuu ya England maarufu kama English Premier League ‘EPL’ ilitangaza ratiba yote ya msimu mpya wa ligi hiyo 2017/18 ambao unatarajia kuanza August 12, 2017.
Mbali na klabu za ligi hiyo kujiandaa kwa mazoezi makali, pia
zimekuwa zikitambulisha jezi zao ambazo watazitumia katika mechi
mbalimbali za nyumbani na ugenini msimu huu.
Nimekuwekea hapa picha za jezi zitakazotumiwa na Chelsea FC na Tottenham Hotspur ambazo zimetengenezwa na Kampuni ya vifaa vya michezo ya Marekani Nike.
No comments:
Post a Comment