UBA Bank Tanzania yaingiza sokoni Kadi zake Mpya za Mastercard
MuroTV
KIMATAIFA
UBA Bank Tanzania yaingiza sokoni Kadi zake Mpya za Mastercard
Mkuu
wa kitengo cha malipo ya kidigitali wa bank ya UBA Tanzania, Mr.
Priscussy Kessy akiongea na baadhi ya wafanyakazi na wateja wa benki hio
wakati wa uzinduzi wa Kadi za Mastercard zitakazoanza kutolewa kwa
wateja wa UBA Bank Tanzania.
Mkurugenzi
mkuu wa bank ya UBA Tanzania, Mr Peter Makau akizungumza wakati wa
uzinduzi wa huduma mpya ya kadi za mastercard kwa wateja wa bank hiyo ya
UBA Tanzania
Mkurugenzi
Mkazi wa Mastercard Tanzania Mr. Anthony Karingi (kushoto) akikata
utepe na mkurugenzi mkuu wa bank ya UBA Mr Peter Makau (kulia) kuashiria
uzinduzi wa huduma mpya ya kadi za mastercard kutoka Benki ya UBA
Tanzania.
Mkurugenzi
mkazi wa Mastercard Tanzania Mr. Anthony Karingi (wa pili kulia) na
Mkurugenzi Mkuu wa bank ya UBA Tanzania Mr Peter Makau (wa pili
kushoto)wakikata keki kuashiria uzinduzi wa huduma hio ya kadi za
mastercard ya bank ya UBA Bank uzinduzi uliofanyika leo katika tawi la
benki hio lililopo barabara ya Pugu
Mmoja
wa wateja wakubwa wa benki ya UBA Tanzania, Mr Jitendra Kumar Bhardwayi
akizungumzia ujio wa mastercard ya UBA Bank ambayo amesema itamsaidia
katika kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao na kumrahisishia shughuli
zake za kibiashara
Baadhi ya wafanyakazi wa UBA bank Tanzania wakifurahi mara baada ya uzinduzi huo wa kadi za Mastercard za UBA Bank.
Wafanyakazi wa benki ya UBA wakijadiliana jambo wakati wa uzinduzi wa kadi za mastercard kutoka benki ya UBA leo
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
: prosperalphonce35@gmail.com
Instagram: muro_tv

No comments:
Post a Comment