Header Ads

BREAKING: Basi limetumbukia darajani na kuua watatu mkoani Manyara+AUDIO

MuroTV

Mix

BREAKING: Basi limetumbukia darajani na kuua watatu mkoani Manyara + AUDIO


Ripoti iliyonifikia muda huu kutoka mkoani Manyara inaeleza kuwa watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.
MuroTV na murotv.blogspot.com zimempata mkuu wa wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga ambaye amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
 MSIKILIZE MKUU WA WILIYA YA MBULU HAPA CHINI
 
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;
Phone: 0768786851
Email:prospermuro690@gmail.com
           : prosperalphonce35@gmail.com 
Instagram: muro_tv

No comments:

Powered by Blogger.