Mchezaji wa saba kajiunga na Simba SC leo
MuroTV
Michezo
Mchezaji wa saba kajiunga na Simba SC leo
Leo June 15 2017 Simba imetangaza kumsajili mchezaji wa saba kwa msimu huu, Simba leo mbele ya makamu wa Rais wa club hiyo Geofrey Nyange Kaburu wameingia mkataba wa miaka miwili na mchezaji Ally Shomari kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro.

Ally Shomari anakuwa mchezaji wa saba kusajiliwa msimu huu na Simba wakiwemo pamoja na Aishi Manula, Shomari Kapombe na John Bocco, hata hivyo licha ya kuendelea kusajili Simba kuna tetesi kuwa imeachana na mshambuliaji wake Ibrahim Ajib kwa kushindwa kufikia dau la kusaini mkataba mpya.

No comments:
Post a Comment