Header Ads

IKIWA IMEBAKI SIKU MOJA TU, CHUO KIKUU CHA SAUT-MWANZA KUANZA MITIHANI YA KUMALIZA SEMESTER YA PILI, JUNE 27, 2017. (+ FULL TIME TABLE)


Imebaki siku moja tu kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Main Campas Jijini Mwanza kuanza mitihani yao ya kumaliza Semester ya pili ambapo pia ni Semester ya mwisho wa masomo ya Elimu ya  chuo kikuu kwa wanafunzi wa mwaka wa Tatu, Nne  na wale wanaochukua Masters.

Mitihani hiyo inatarajiwa kuanza kesho tarehe 27 June, 2017 na kumalizika mnamo tarehe 14 Jully, 2017, murotv.blogspot.com na Muro Tv tunawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wa Chuo kikuu cha Mt. Augustino pamoja na vyuo vingine vinavyoendelea na mitihani + Colleges.

PICHA ZIKIONYESHA BAADHI YA WANAFUNZI WAKIJISOMEA

SAUT UNIVERSITY EXAMINATION TIME TABLE
CLICK HERE TO DOWNLOAD AND VIEW FULL EXAM TIME TABLE

No comments:

Powered by Blogger.