Header Ads

Usiku mzima umetumika kumaliza kolabo ya Rayvanny na Jason Derulo

Ni siku kadhaa tangu mastaa wawili kutoka Tanzania na mwingine wa Marekani yaani Rayvanny na Jason Derulo kukutana katika msimu wa tano wa Coke studio inayofanyika nchini Kenya. Kukutana kwa wawili hao kumeleta neema kwa msanii kutoka lebo ya WCB Rayvanny

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rayvanny aipost picha ikiwa na maelezo yanayothibitisha uwepo wa kolabo yao binafsi kati yake na Jason Derulo. Rayvann aliandika 

  • "rayvannyGod bless you my brother @jasonderulo its amaizing opportunity,am so grateful for that......... Toka Saa 8 Usiku amekaa na mimi hadi Asubui... Studio kulikua na Watoto wakaaaaaliiiii 😂lakini kawacha waondoke sababu walichoka kukaa studio yeye kabaki na sisi tu. Naamini kilichofanyika Mtakipenda. Thanks boss @afrikidd @babutale".

No comments:

Powered by Blogger.