DC Arusha amuagiza Mkurugenzi wa jiji kuandaa miundombinu ya shule za sekondari haraka
MuroTV
ARUSHA
DC Arusha amuagiza Mkurugenzi wa jiji kuandaa miundombinu ya shule za sekondari haraka
Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Mheshimiwa Fabian Daqqaro mapema leo
asubuhi amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Mh:
Athumani Kihamia kuhakikisha anandaa miundombinu kwa haraka katika
shule za sekondari za Suye (kutwa) na Korona (bweni) ili zipokee
wanafunzi wa kidato cha tano mapema julai 2017 . Ambapo mkurugenzi huyo
ameahidi kutekeleza hilo kwa wakati.
FOLLOW NA LIKE PAGE YANGU YA FACEBOOK HAPA CHINI
CLICK HAPA ☛ OPEN
FOLLOW ACCOUNT YANGU YA INSTAGRAM
CLICK HAPA ➼ OPEN
MuroTV na murotv.blogspot.com zipo kwaajili ya kukuhabarisha kwa wakati.
KWA MATANGAZO WASILIANA NAMI KUPITIA;



No comments:
Post a Comment