Mbunge wa Chalinze akabidhi msaada wa vitanda vya kujifungulia
MuroTV
MATUKIO
Mbunge wa Chalinze akabidhi msaada wa vitanda vya kujifungulia
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwan Kikwete akabidhi Msaada wa vitanda vya
kujifungulia (5), vitanda vya wodini (20), Magodoro 20 na mashuka 50 kwa
Halmashauri ya Chalinze ambavyo vitagawiwa katika vituo vya Afya 5
vilivyo katika Tarafa 5 za Halmashauri ya Chalinze .
Vifaa hivi ni sehemu ya Utekelezaji wa Ahadi za Mheshimiwa Raisi wetu
na Ilani ya CCM -2015 kwa Wananchi wa Halmashauri ya Chalinze.

No comments:
Post a Comment