Bank ya Dunia imetaja nchi zilizokua haraka kiuchumi 2017, Tanzania je?

Bank ya Dunia (WB) wametoa list ya nchi ambazo zinakuwa haraka
kiuchumi mwaka 2017 huku nchi za Afrika na Asia zikionekana kushika kasi
katika kukuza uchumi wake kutokana na kukua kwa biashara na
miundombinu.
Katika list hii Ethiopia inakamata nafasi ya kwanza ambapo uchumi wake umekua kwa 8.3% huku Tanzania ikitajwa miongoni mwa nchi 10 ikikamata nafasi ya 5 uchumi wake ukikua kwa 7.2% huku uchumi wa Djibouti ukikua kwa 7% licha ya kukabiliwa na ukame mkubwa.


No comments:
Post a Comment