FUTURE, DIAMOND, VANESSA WAFUNIKA TAMASHA LA CASTLE UNLOCKS DAR ES SALAAM
| Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. |
| Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leo |
| Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. |
| Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo. |

No comments:
Post a Comment