PICHA 9: BMW kutengeneza pikipiki yenye reverse gear na kujua unakoenda

Katika hali ya kuonesha ushindani wa kutengeneza bidhaa za kiteknolojia kampuni nyingine ya kutengeneza magari ya BMW ina mpango wa kutengeneza pikipiki ambazo zitakuwa na uwezo wa kujua unakoelekea.
Unaambiwa pikipiki hizo zitakuwa na gia ya kurudi nyuma na siti zake zitakuwa na uwezo wa kujiongeza size kulingana na mtu anayeiendesha.
Nimekuwekea hapa picha za muonekano wa pikipiki hiyo.









No comments:
Post a Comment