SIASA
#UPDATE: Majibu ya Waziri Mwigulu kuhusu utoaji wa fomu za PF3
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu
Nchemba ameagiza kuanzia sasa majeruhi, mahututi asiyeweza kutoroka, na
mtu mwenye majeraha yasiyo na utata apewe matibabu bila fomu ya PF3.
Kwa mujibu wa agizo la Waziri Mwigulu
amesema hatua za kupata fomu ya matibabu PF3 kutoka polisi ziendelee
wakati mgonjwa akiendelea kupata matibabu na lengo likiwa ni kuokoa
maisha yao kwanza.
Mwigulu ameongeza >>>>Utaratibu
huo utakuwa ukifatiliwa kwa karibu kutoka kwenye vyombo vya usalama ili
kubaini ukweli jeraha la muhusika<<< Waziri Mwigulu Nchemba
No comments:
Post a Comment