Burudani
Alichosema Dogo Janja kuhusu picha za Ben Pol zenye gumzo

Kupitia The Weekend Chart Show inayorushwa na Clouds TV May 19, 2017 staa kutoka Bongoflevani Dogo Janja ameeleza hisia zake katika tukio hilo akisema Ben Pol ni shujaa kwa kitu alichokifanya.
>>>“Ben Pol ni shujaa. Mimi nimependa alichokifanya hasa. Role modal wake si John Legend kwa hiyo hata content zake ndio zile japo kwa Ben siwezi ku-judge kitu maana sijui dhamira yake ilikuwa nini. Mpaka sasa hivi nimekuwa mtu wa kufuatilia account yake” – Dogo Janja.

Picha ambazo Ben Pol amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram zilizoleta mzozo
No comments:
Post a Comment