PICHA 17: IGP SIRRO ALIVYOAPISHWA RASMI LEO IKULU DSM
MuroTv
Mix
PICHA 17: IGP Simon Sirro alivyoapishwa rasmi leo Ikulu DSM
By Prosper Muro

Leo
May 29, 2017 Rais Magufuli amemwapisha Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jesho la
Polisi Tanzania (IGP), baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo May 28.
IGP Sirro amechukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye imeelezwa atapangiwa
kazi nyingine.
Nimekuwekea hapa picha za matukio yote ya kuapishwa kwa IGP Sirro.















No comments:
Post a Comment