Header Ads

NA WEWE ZILIKUFUKIA TAARIFA ZA CHEGE KUZUSHIWA KIFO

social network

Na wewe zilikufikia taarifa za Chege kuzushiwa kifo…mwenyewe amejibu

Mwimbaji maarufu wa Bongofleva kutoka kwenye kundi la TMK Family Chege ameeleza kwa masikitiko makubwa kuhusu taarifa za kuzushiwa kifo kupitia kwenye mtandao ambapo taarifa hizo zilisema amepata ajali mbaya ya gari na kufariki dunia.
Chege ameelezea hisia zake za masikitiko kwenye account yake ya Instagram>>>
 

No comments:

Powered by Blogger.