UJUMBE WA YANGA SC ULIOTUMWA KUTOKA FIFA
Michezo
Ujumbe wa Yanga SC uliotumwa kutoka Fifa
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Jamali Malinzi ameandika ujumbe huo ambao umetoka kwa Rais wa Fifa kwenda kwa Yanga SC akisema: “Rais wa FIFA Bw Gianni Infantino leo ametuma salam za pongezi kwa klabu ya Yanga kwa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu.Ameitakia kheri Yanga.” – Malinzi.

No comments:
Post a Comment