Header Ads

MAPOKEZI YA YANGA BAADA YA KURUDI NA KOMBE AIRPORT

Michezo

PICHA 6: Mapokezi ya Yanga Airport DSM baada ya kuwasili na Kombe la VPL

By
May 20 2017 club ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa mwisho wa Ligi Kuu soka Tanzania bara dhidi ya Mbao FC katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na kupoteza kwa goli 1-0 lakini Yanga walitangazwa Mabingwa wa VPL baada ya kumalizika kwa Ligi.

Yanga wametangazwa kuwa Mabingwa wa VPL  baada ya kumaliza Ligi wakiwa na point 68 sawa na Simba lakini wametwaa taji hilo kwa tofauti ya magoli 10 dhidi ya Simba, taji hilo linakuwa ni taji lao la 27 la Ligi Kuu lakini pia linakuwa ni taji lao la tatu mfululizo la VPL, leo Yanga wamewasili Dar es Salaam wakitokea Mwanza.



No comments:

Powered by Blogger.