LIST YA MIJI MICHAFU ZAIDI AFRICA 2017 IMETOKA, TANZANIA INAO MMOJA
Duniani
List ya Miji michafu zaidi Afrika 2017 imetoka, Tanzania inao mmoja
By

Nigeria inaongoza list kwa kuwa na miji mingi michafu ikiwa na miji 12 ikifuatiwa na Afrika Kusini ambayo imeingiza miji 8 kwenye list hiyo. Jiji la Nairobi limetajwa kuwa chafu kwa upande wa majiji makubwa Afrika Mashariki huku Morogoro ukiwa mji pekee kwenye list hiyo kutoka Tanzania.


No comments:
Post a Comment