Header Ads

HEKAHEKA: UKUTA ULIOJENGWA MBELE YA GETI LA JIRANI UMEKUWA GUMZO DSM

HekaHeka

HEKAHEKA: Ukuta uliojengwa mbele ya geti la jirani umekuwa gumzo DSM

May 24, 2017 Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM imetokea Buguruni Malapa ambapo mkazi mmoja anadaiwa kujenga ukuta mbele ya geti la jirani yake jambo ambalo lilizua utata baina ya majirani hao huku eneo hilo likidaiwa kuwa eneo la wazi.
Baada ya kujengwa ukuta huo palizuka gumzo baina ya majirani hao lakini ikidaiwa kuwa hawakuwa na ruhusa ya kulitumia eneo hilo kwa sababu ni eneo la wazi ‘open space’ licha ya mmoja kati yao kulitumia kama maegesho ya gari lake.

No comments:

Powered by Blogger.